Wednesday, July 29, 2015

Ukweli Kuhusu Wema Sepetu Kuhamia CHADEMA Kumfuata Lowassa


Meneja wa Wema Sepetu Amekanusha taarifa na picha zinazosambaa kwamba Wema Amejiunga na Chama cha Chadema Kumfuata Lowassa.....Hakuna Ukweli wowote.....Mkiona Habari hizo mzipuuzie....
BOFYA HAPA VIDEO MENEJA WAKE AKIFUNGUKA LIVE


EmoticonEmoticon