Wednesday, August 12, 2015

Account ya Davido Yafikisha Followers Million 1 Huko Instagram



Msanii wa Nigeria Maarufu kama Davido mwenye hits kama Aye na The Sound amefanikiwa kufikisha mashabiki milioni moja wanaomfuatilia kwenye mtandao wa kijamii wa Istagram.





EmoticonEmoticon