This is How Shamsa Ford, A famous Bongo Movies Actress Supports Opposition (UKAWA), See what she Wrote on her Account...
"Binadamu yoyote ambae ana hisia , hofu ya Mungu,na huruma hawezi kumcheka mwanadamu mwenzie ambae anaumwa au kusumbuliwa na chochote kwasababu kabla hujafa hujaumbika. .Mungu akiamua kuonesha miujiza yake ni ndani ya sekunde tu...TUWE NA HURUMA NA UPENDO kwa wenzetu"
EmoticonEmoticon