Thursday, May 26, 2016

Hamisa Mobetto has shared her Mum's pic on Instagram and this is what she wrote about her Mum

Model Hamisa Mobetto has shared a pic of her Mum on her Instagram account, Hamisa on her Post has written a message concerning her Mum that is helpful and an advice to many people, This is what Hamisa Mobetto wrote on her post, Read her Message!

Kuna Wakati Nakaa Chini Na Kufikiria Cha Kukulipa Mama Nashindwa Kupata Jibu Sahihi, Nafikiria Nikufanyie Nini Ili Kurudisha Zile Fadhila Zote Lakini Kila Nachokifikiria Naona Hakitoshi Kwako. Nafikiria Shida Na Tabu Ulizopata Kuniweka Tumboni Mwako Kwa Miezi 9, Kuna Muda Hukulala Na Kuna Muda Ulihangaika Kwenda Na Kurudi Hospitali Ili Tu Niweze Kufikisha Muda Na Kutoka Tumboni Kwako Nikiwa Salama. Nafikiria Kipindi Cha Uchungu Wa Uzazi Na Hata Baada Ya Kunizaa Ukaendelea Kunilea Na Kuacha Starehe Zako Na Raha Zako Zote Ili Uhakikishe Ninakua Kwenye Maadili Mema Na Nikiwa Na Afya Njema. Kuna Muda Ulifikia Hata Kugombana Na Ndugu Na Majirani Mradi Tu Unitetee Na Nisijione Mpweke, Ulijinyima Hata Kuvaa Vizuri Ili Univalishe Mie Kipindi Cha Sikukuu Nisijione Tofauti Na Watoto Wengine. Ulinisomesha Kwa Juhudi Zako Zote Na Hukuacha Kunipa Ushauri Pale Ulipoona Ninakwenda Nje Ya Mstari Na Kuna Wakati Nilikukosea Lakini Hukunitupa Ukijua Ni Ujana Tu Utapita. Na Hata Sasa Nimekuwa Mtu Mzima Lakini Bado Hujaniacha Na Unanipenda Kama Mwanzo Na Ndo Kwanza Mapenzi Yako Kwangu Yanaongezeka. Wewe Ni Zaidi Ya Mama Kwangu, Wewe Ni Rafiki, Wewe Ni Mungu Wangu Wa Pili Hapa Duniani, Uwepo Wako Kwangu Ni Furaha Tosha, Hata Dunia Ikinigeuka Nikikufikiria Wewe Napata Nguvu Ya Kusonga Mbele. Ahsante Sana Mama! @mama_mobetto @mama_mobetto



Sponsored:-

Health Tip: Choosing a good mesothelioma lawyer
 Choosing a good mesothelioma lawyer is imperative to ensuring that you will be awarded the highest amount of compensation for your case. Attorneys who specialize in asbestos litigation have experience with and knowledge about the complex issues, medical considerations, and history surrounding asbestos legislation, case law, and the applicable procedural rules and formalities of each and every case they handle.

Qualities of a Great Mesothelioma Lawyer
 When seeking out an attorney who can help you receive compensation for your asbestos-related injury, there are several qualities you should look for. Understanding A great mesothelioma lawyer is compassionate, understanding, and sensitive to what you and your family are going through. They will take the time to understand your situation, listen to the concerns you have, and comprehend the problems and complications you are facing.



EmoticonEmoticon