Tuesday, May 24, 2016

Video of Wolper and Harmonize Kissing in Public, Fans React Negatively {See it Here}


This New Hot Couple is on Fire, The Pair seems not getting enough from each other. Harmonize from WCB and Bongo Movies Actress Jacquiline Wolper were Spotted Kissing Public during the Party of Aunty Ezekiel and Mose Iyobo's Daughter Birthday.

Soon after the Video was Uploaded it Received Massive Negative Comments From Fans, See Them Below:-

i_am__naomie: @iamjust_naomie we acha tu hii ndio bongo yetu mama😷😷😷😷
24 hours ago
dadiekj: Moja yadada nilikua namuona anajielewe sana nihuyu lkn kwaupuzulii huu Acha waishie kuigiza hapa hapa navipicha vyao vibandikwe uswazi tu. ..hakuna asiejua mapenzi ila huuniujinga nahaka kadogo kamejiachia kanaona ujanja
24 hours ago
angela_mnyalu: Very true @lyrne
24 hours ago
datriciawilliam6837: n ukwel mtupu wolper alkuwa anajiheshmu but now mhhhhh😷😷😷
24 hours ago
mwanab33: @lyrne ni kweli kabisa
24 hours ago
magda_lyn: Hawapendezaniiiiiiii...wapo wanaodate vijana wadogo bt wanapendezana ila hawa nooo
24 hours ago
linapendo: @glorietk mwalimu njoo Kuna watoto wanahitaji bakora huku
24 hours ago
kimambolucy: daaa!ctaki kuamini ninachokiona, au macho yangu yanaona vibaya,hivi kwan mapenzi ni lazima kufanya hayo hadharani? jaman jiheshimuni bac,huyu mdada nilikuwa namheshimu sana
24 hours ago
magda_lyn: @lyrne kweli dear...
24 hours ago


EmoticonEmoticon